Msimu uliopita, Simba na Yanga zilitumia Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam kwa mechi zao za nyumbani za ...
Huku akiweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyeifunga Yanga mara nyingi, Dua anasimulia mikasa ya usajili, wakati wa uongozi wa Hans Pope yeye akiwa mjumbe wa kamati hiyo na kutaja sababu za mastaa wengi ...
KAMA ulikuwa unafikiri Azam FC walimsajili Ali Ahamada miaka mitatu iliyopita kwa sababu ya mkwanja mrefu ambao waliuweka ...
HIVI karibuni katika tuzo za Grammy 2025, miongoni mwa wageni walihudhuria na kuangaziwa sana na vyombo vya habari ni pamoja ...
VITA ya ufungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) inazidi kupamba moto kati ya mastaa wawili, Stumai Abdallah ((JKT Queens) na Jentrix Shikangwa (Simba Queens) huku mbio zao zikikolezwa ...
IPO methali ya Kiswahili isemayo "Ukweli mchungu" ikiwa na maana kwamba wakati mwingine kusema ukweli huleta maumivu, huzuni au hali ngumu kwa mtu anayekubali au anayeambiwa ukweli husika.
NINAPOONGELEA ngoma zangu bora za wakati wote lazima niitaje 'Kila Wakati' ya Godzilla featuring G Nako. Ile ngoma ilikuwa ya moto na inawezekana ndiyo ngoma ya kwanza ambayo Godzilla ...
KWA zaidi ya miaka 12 kundi la Navy Kenzo limekuwepo katika muziki wa Bongofleva likifanya vizuri na hadi sasa ni miongoni ...
MWANAMUZIKI Frida Amani 'Madam President' amesema kinachofanya aandike historia kila mara kwenye muziki ni tabia yake ya ...
FEBRUARI 17 kwa kocha Fred Felix ‘Minziro’ itakuwa ni miezi minne kamili ambayo ni sawa na takribani siku 120 ndani ya Pamba ...
Dakika chache baada ya kiungo wa Yanga, Stephanie Aziz KI kutupia kambani chuma tatu, furaha yake imemfanya kufichua juu ya ...