Huku akiweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyeifunga Yanga mara nyingi, Dua anasimulia mikasa ya usajili, wakati wa uongozi wa Hans Pope yeye akiwa mjumbe wa kamati hiyo na kutaja sababu za mastaa wengi ...